Sunday, June 15, 2014

Soma mashairi ya nyimbo mpya ya amini wa Tht


wimbo;asante
mahadhi;zuku rhumba

verse 1
Zile nyimbo ulosikia sio kama ni idea
ni maisha nilopitia
Wakaribu ndio wanaojua
kila mti niliodandia,kumbe matawi yashajiachia
kazi yangu kukesha na dua, labda kesho ntajaliwa
kwa huruma ukatokea, Maumivu yangu Yalikusumbua
Magazeti Redioni pia ulinisoma na kuniskia, japo majibu niliyatoa imani zao hazikunisahishia
Umekuja kuninasua, usinitege ikajirudia


Chorus
Asante kwa kunipenda na Tuombe usiku na mchana*2
Nawako ukabanga wee nangu sintopenda tena dembenje ukaleta wee nangu sintopenda tena asante kwa kunipenda

verse2
Niliweka uzio moyoni kutopenda kwenye dunia, Furaha yangu ya barabarani kuonyesha cjaumia
Yaniliza mazoea nyumbani nikarejea, kitanda alicho nitandikia mpaka leo sijalalia
Ukaona uje unipende maumivu yangu yalikusumbua
Magazetini, Redioni pia ulinisoma na kunisikia, Japo majibu niliyatoa imani zao hazikunisahishia
Umekuja kuninasua, usinitege ikajirudia

No comments:

Post a Comment