Thursday, June 12, 2014

Naf Beach Hotel na Offer Mpya kwa Wateja wake


NAF Beach Hotel ni Hotel yenye hadhi ya nyota Tano iliyopo mkabala na Chuo cha Veta Mtwara Kwa upande wa Mashariki na Pia katika upande Kaskazini ikipakana na Bahari ya Hindi. Uongozi Wa Naf Beach Hotel unapenda kuwatangazia kuwa kutokana na kuwajali wateja wake wale waingiao ndani ya Mkoa wa


Mtwara na wanaoishi ndani ya Mkoa wa Mtwara inapenda kuwafahamisha kuwa imeamua kutoa punguzo la asilimia 20% kwa wateza wake wote kwa upande wa Malazi na pia huduma za Ukumbi wa Mikutano

wenye uwezo mkubwa na hadhi za kimataifa. Uongozi mzima wa Hotel unapenda kusema Karibu Mtwara, Karibu NAF BEACH HOTEL

No comments:

Post a Comment