Wednesday, June 4, 2014

kisome kikosi cha nigeria kinachoelekea Brazil


baada ya timu mbalimbali za ulaya,afrika na asia zinazoelekeaa kombe la dunia kujumuika na wachezaji ambao walikua kwenye klabu zao kutangaza vikosi mbalimbali ambavyo vinaelekea kombe la dunia nchini brazil.kocha wa nigeria Steven Keshi ametangaza kikosi chake cha majina 23 atakachokitumia


brazil.Mabingwa hao wa kombe la mataifa afrika mwaka 2013 wataelekea brazil ikiwa ni mwaka wa 5 kwao.Pia nigeria wapo kundi moja na Argentina,Iran na Bosnia.Kikosi hiko ni;walinda mlango;vicente enyeama Austin ejide Chigozie agbim  mabeki;Joseph yobo Elderson echiejile Juwon oshaniwa Godfrey

oboabona Azubuike egweukwe Keneth omeruo Efe abrose Kunle odunlami Viungo;John obi mikel ogenyi onazi Ramon azeez Michael uchebo Rauben gabriel washambuliaji;Osaze odemwingie Ahmed mussa Shola ameobi E.eminike Babatunde Michael Victor moses Uche mwoforo
posted by mussa moud

No comments:

Post a Comment