Mapema wiki hii Toure alitoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba alipuuzwa na mabosi wa club yake ambao hawakuungana nae kumtakia heri katika siku ya kuzaliwa kwake. Wakala wa Toure "Demitri Seluk", halidai
hana ukahakika kama mchezaji huyo ataendelea kuwepo klabuni hapo baada ya Kipindi cha Majira ya joto na Chelsea inataka kutumia nafasi hiyo kutosa noana kwa Toure ambaye yupo katika kiwango cha juu kwa sasa.
From Moud Mussa


No comments:
Post a Comment