Friday, May 30, 2014

MKANALEDI FC YAIFUNGA COSMO FC KATIKA LIGI DARAJA LA NNE


Mtwara,nangwanda
mkanaledi fc yaibuka na ushindi wa mabao 2-0
Ligi daraja la nne limeendelea leo mkoani mtwara huku timu mbili zikimenyana vikali katika dimba la nangwanda sijaona.katika mchezo huo tulishuhudia upinzani wa hali ya juu kwa miamba ya hapa mkoani


mtwara ambapo timu ya mkanaledi fc ikiichakaza mabao 2-0 cosmo fc ya nandope.ligi hiyo itaendelea tena kesho pale nangwanda sijaona.
  Habari na julio cesar

No comments:

Post a Comment