Tuesday, May 27, 2014

Lady Jaydee ndani ya Anthem ya Kombe la Dunia 2014


Tulisikia kwamba mwimbaji hodari wa kike, Lady Jaydee , jina halisi Judith Wambura, kuwa ni mmoja kati ya wasanii kutoka Afrika Mashariki, waliopata “mtonyo” wa kuimba katika wimbo maalum wa Kombe la Dunia 2014. Kitu kipo tayari.
Kwa kimombo wanaita 2014 FIFA World Cup Anthem, jina la track ni The World Is Ours. Tupia jicho hapo chini.

No comments:

Post a Comment