 |
| Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo. |
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la
Mapinduzi jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3
kimewasili jijini Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment